{"id":6765,"date":"2026-06-23T16:28:55","date_gmt":"2026-06-23T15:28:55","guid":{"rendered":"https:\/\/deafblindness.info\/?page_id=6765"},"modified":"2026-06-24T11:59:08","modified_gmt":"2026-06-24T10:59:08","slug":"msaada-wa-ufikiaji","status":"publish","type":"page","link":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/","title":{"rendered":"Msaada wa Ufikiaji \u00a0"},"content":{"rendered":"\n<h2 class=\"wp-block-heading\">Jinsi ya kukifanya kifaa chako kiweze Kufikika Zaidi\u00a0 \u00a0<br><\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Tumejitolea kutii miongozo mipya zaidi ya WCAG kwa kiwango bora kadri tuwezavyo ili kuhakikisha kwamba maudhui yetu yanapatikana iwapo unatembelea Kitovu cha Kimataifa cha Raslimali kupitia njia ya kuona, kugusa au kuzungumza.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Hata hivyo, ni muhimu pia kutambua kwamba mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako na kivinjari chako cha mtandao pia una vipengele vya ufikiaji vilivyojengewa ndani ambavyo unaweza kuvitumia. Kwa kubadilisha mipangilio kwenye kifaa chako, inamaanisha kwamba upendeleo wako umehifadhiwa. Hivyo, tovuti yoyote unayotembelea itarekebisha kiotomatiki kulingana na mipangilio yako ya ufikiaji iliyohifadhiwa.<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><br>Mifano ya kawaida ya marekebisho hayo ni pamoja na kubadilisha mipangilio yako ili iweze kukusaidia vitu kama ubadilishaji wa rangi na uongezaji wa ukubwa wa maandishi. Hapa kuna mwongozo wa namna ya kufanya hivyo. Tafadhali zingatia kwamba mwongozo huu unaweza kutofautiana kulingana na kifaa na toleo la mfumo wa programu unayotumia.<\/p>\n\n\n\n<div class=\"wp-block-buttons is-layout-flex wp-block-buttons-is-layout-flex\">\n<div class=\"wp-block-button\"><a class=\"wp-block-button__link wp-element-button\" href=\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/jinsi-ya-kupata-tovuti-haraka-kwenye-simu-yako\/\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Jinsi ya kutengeneza njia mkato<\/a><\/div>\n<\/div>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">Jinsi ya kufanya maandishi kuwa makubwa zaidi<\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Katika Kompyuta<\/strong>:<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>\u00a0Bonyeza <strong>Ctrl + Plus (+)<\/strong> ili kufanya maandishi kuwa makubwa zaidi.<\/li>\n\n\n\n<li>Bonyeza <strong>Ctrl + Minus (-)<\/strong> ili kufanya maandishi kuwa madogo.<\/li>\n\n\n\n<li>Bonyeza <strong>Ctrl + 0<\/strong> ili kuweka upya ukubwa.<\/li>\n\n\n\n<li>Kwenye Mac, tumia <strong>Cmd<\/strong> badala ya Ctrl.<\/li>\n\n\n\n<li>Au nenda kwenye Mipangilio ya kivinjari chako na utafute &#8220;Kuza&#8221; au &#8220;Ukubwa wa herufi.&#8221;<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li><strong>Kwenye Mac yako:<\/strong><\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kwenye Mac yako, chagua menyu ya Apple &gt; Mipangilio ya Mfumo, kisha ubofye Ufikiaji kwenye ukingo pembeni.&nbsp;<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Bofya Onyesho, sogeza chini hadi Maandishi, kisha ubofye \u201cUkubwa wa maandishi.\u201d<\/li>\n\n\n\n<li>Vuta slaida kulia ili kuongeza ukubwa wa maandishi kwenye deskitopu, katika ufito wa pembeni wa programu, na katika programu zilizoorodheshwa (ikiwa zimetengenezwa kutumia ukubwa wa usomaji unaopendelewa).<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li><strong>Kwenye iPhone (Safari)<\/strong>: Nenda kwenye Mipangilio > Programu > Safari > Kuza Ukurasa na uchague ukubwa.<\/li>\n\n\n\n<li>\u00a0<strong>Kwenye Android (Chrome)<\/strong>: Gusa doti tatu (juu kulia), nenda kwenye Mipangilio > Ufikiaji, na sogeza slaida ya kuongeza maandishi.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Tazama njia zingine za kubinafsisha Muhtasari wako wa Ufikiaji katika Android.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">Jinsi ya Kubadilisha Rangi kwa Ajili ya Utofautishaji Bora<\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Windo<\/strong>:<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Tumia zana za bure kama vile Daki rida au lizadi ya midinaiti.<\/li>\n\n\n\n<li>Nenda kwenye Mipangilio> Ufikiaji> Tofautisha Mandhari ili kubadilisha rangi.<\/li>\n\n\n\n<li>Bonyeza Alt + Left Shift + PrintScreen ili kuwasha\/kuzima utofautishaji wa juu.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Mac (Safari)<\/strong>:<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Jaribu Njia ya Dark Nightshift (bila malipo).<\/li>\n\n\n\n<li>Bonyeza <strong>Cmd + Alt + Ctrl + 8<\/strong> ili kubadilisha rangi<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>iPhone<\/strong>:<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li>Nenda kwenye Mipangilio > Ufikiaji > <strong>Onyesha &amp; Ukubwa wa Maandishi<\/strong>.<\/li>\n\n\n\n<li>Washa Ongeza Utofautishaji au kigeuzi cha haraka.<\/li>\n\n\n\n<li>Ili kufanya mabadiliko kwa haraka, nenda kwenye Njia ya Mkato ya Ufikiaji na uweke mipangilio ya ufikiaji wa haraka.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Chromebook (Kivinjari cha Chrome)<\/strong>: Bofya <strong>Ctrl + Search + H<\/strong> ili kubadili rangi):<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><strong>Android<\/strong> (Chaguo hutegemea na kifaa):<\/p>\n\n\n\n<ul class=\"wp-block-list\">\n<li><strong>Samsung:<\/strong> Nenda kwenye Mipangilio> Ufikiaji> Uboreshaji wa Mwonekano> Ubadilishaji wa Rangi au Mipangilio> Mandhari>Chagua mandhari<\/li>\n\n\n\n<li><strong>Google Pixel:<\/strong> Nenda kwenye Mipangilio > Ufikiaji > Rangi &amp; Mwendo > Ubadilishaji wa Rangi.<\/li>\n\n\n\n<li><strong>Tableti<\/strong>: Nenda kwenye Mipangilio > Ufikiaji > Ubadilishaji wa Rangi.<br><br>Chromebook (Kivinjari cha Chrome): Bonyeza Ctrl + Search + H ili kubadilisha rangi.<\/li>\n<\/ul>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Kuna njia nyingine nyingi za kuboresha ufikiaji kupitia kivinjari chako, mfumo wa uendeshaji na kompyuta yako, simu janja au tableti. Tazama ukurasa wetu wa maelezo kuhusu programu za simu zinazoweza kukusaidia kuendelea kuboresha matumizi yako ya mtandaoni.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">Vipengele vingine Muhimu vya ufikiaji&nbsp;<\/h2>\n\n\n\n<h3 class=\"wp-block-heading\">Android na Chromebook<\/h3>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.google.com\/accessibility\/android\/answer\/9728765?sjid=5605212918941831912-EU\" type=\"link\" id=\"https:\/\/support.google.com\/accessibility\/android\/answer\/9728765?sjid=5605212918941831912-EU\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Onyesho la Breli<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.google.com\/accessibility\/android\/answer\/9350862?hl=en-GB\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Maelezo mafupi mubashara<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.google.com\/accessibility\/android\/answer\/9426888?hl=en-GB&amp;ref_topic=9078842\" type=\"link\" id=\"https:\/\/support.google.com\/accessibility\/android\/answer\/9426888?hl=en-GB&amp;ref_topic=9078842\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vifaa vya kusikia<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.google.com\/accessibility\/android\/answer\/6006564?hl=en\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vipengele muhimu vya ufikiaji wa Android<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.google.com\/chromebook\/answer\/177893?hl=en-GB\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vipengele muhimu vya ufikiaji vya Chromebook<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/www.youtube.com\/watch?v=9s9PrpxOrb4&amp;list=PL590L5WQmH8dvW6kLjd5jRDN0IiCJHLZZ&amp;index=2\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Unaweza pia kutazama masasisho mapya zaidi ya ufikiaji kutoka Google kwa utumia kifaa chako cha Android<\/a>.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">IOS \u00a0&#8211; App (Programu ya IOS)<\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/iphone\/iph73b8c43\/ios\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Onyesho la Breli<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/iphone\/iph32deb9296\/18.0\/ios\/18.0\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Maelezo ya moja kwa moja<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/iphone\/iphb210be03a\/ios\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vipengele muhimu vya ufikiaji kwa ajili ya kusikia<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/iphone\/iph732dc028d\/18.0\/ios\/18.0\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vipengele muhimu vya ufikiaji kwa ajili ya Kuona<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/iphone\/iph8b6c223ac\/ios\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vipengele muhimu vya ufikiaji kwa ajili ya kunena<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/iphone\/iph76d37ce7d\/ios\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Vipengele muhimu vya ufikiaji kwa ajili ya ujongevu<\/a><\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\">Vipengele muhimu vya Ufikiaji wa Kivinjari<\/h2>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Vivinjari vingi vina zana saidizi za ziada. Bofya kwenye viungo vya baadhi ya zana maarufu ili kufahamu kuhusu vipengele vyake muhimu vya ufikiaji:<\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/www.google.com\/accessibility\/products-features\/#:~:text=Chrome%20browser\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Google Chrome<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.apple.com\/en-gb\/guide\/safari\/ibrw1075\/14.0\/mac\/11.0\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Safari<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.microsoft.com\/en-US\/accessibility\/edge\/accessibility-features-in-microsoft-edge\">Microsoft Edge<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\"><a href=\"https:\/\/support.mozilla.org\/en-US\/kb\/accessibility-features-firefox?esab=a&amp;s=accessibility&amp;r=0&amp;as=s&amp;redirectslug=accessibility-features-firefox-make-firefox-and-we&amp;redirectlocale=en-US\" target=\"_blank\" rel=\"noreferrer noopener\">Firefox<\/a><\/p>\n\n\n\n<p class=\"wp-block-paragraph\">Soma taarifa yetu ya ufikivu hapa<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Jinsi ya kukifanya kifaa chako kiweze Kufikika Zaidi\u00a0 \u00a0 Tumejitolea kutii miongozo mipya zaidi ya WCAG kwa kiwango bora kadri tuwezavyo ili kuhakikisha kwamba maudhui yetu yanapatikana iwapo unatembelea Kitovu cha Kimataifa cha Raslimali kupitia&hellip;<\/p>\n","protected":false},"author":12,"featured_media":0,"parent":0,"menu_order":0,"comment_status":"closed","ping_status":"closed","template":"","meta":{"_acf_changed":false,"footnotes":""},"class_list":["post-6765","page","type-page","status-publish","hentry"],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v27.6 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Msaada wa Ufikiaji \u00a0 - Global Deafblindness Resource Hub<\/title>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Msaada wa Ufikiaji \u00a0 - Global Deafblindness Resource Hub\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Jinsi ya kukifanya kifaa chako kiweze Kufikika Zaidi\u00a0 \u00a0 Tumejitolea kutii miongozo mipya zaidi ya WCAG kwa kiwango bora kadri tuwezavyo ili kuhakikisha kwamba maudhui yetu yanapatikana iwapo unatembelea Kitovu cha Kimataifa cha Raslimali kupitia&hellip;\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Global Deafblindness Resource Hub\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2026-06-24T10:59:08+00:00\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"3 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\\\/\\\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/msaada-wa-ufikiaji\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/msaada-wa-ufikiaji\\\/\",\"name\":\"Msaada wa Ufikiaji \u00a0 - Global Deafblindness Resource Hub\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/#website\"},\"datePublished\":\"2026-06-23T15:28:55+00:00\",\"dateModified\":\"2026-06-24T10:59:08+00:00\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/msaada-wa-ufikiaji\\\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"sw-TZ\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/msaada-wa-ufikiaji\\\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/msaada-wa-ufikiaji\\\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Msaada wa Ufikiaji \u00a0\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/#website\",\"url\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/\",\"name\":\"Global Deafblindness Resource Hub\",\"description\":\"Connecting people with deafblindness to the world around them\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"sw-TZ\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/#organization\",\"name\":\"Global Deafblindness Resource Hub\",\"url\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-TZ\",\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\",\"url\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/09\\\/logo-icon.svg\",\"contentUrl\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/wp-content\\\/uploads\\\/2024\\\/09\\\/logo-icon.svg\",\"width\":50,\"height\":50,\"caption\":\"Global Deafblindness Resource Hub\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\\\/\\\/deafblindness.info\\\/sw\\\/#\\\/schema\\\/logo\\\/image\\\/\"}}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Msaada wa Ufikiaji \u00a0 - Global Deafblindness Resource Hub","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Msaada wa Ufikiaji \u00a0 - Global Deafblindness Resource Hub","og_description":"Jinsi ya kukifanya kifaa chako kiweze Kufikika Zaidi\u00a0 \u00a0 Tumejitolea kutii miongozo mipya zaidi ya WCAG kwa kiwango bora kadri tuwezavyo ili kuhakikisha kwamba maudhui yetu yanapatikana iwapo unatembelea Kitovu cha Kimataifa cha Raslimali kupitia&hellip;","og_url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/","og_site_name":"Global Deafblindness Resource Hub","article_modified_time":"2026-06-24T10:59:08+00:00","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Est. reading time":"3 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/","url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/","name":"Msaada wa Ufikiaji \u00a0 - Global Deafblindness Resource Hub","isPartOf":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#website"},"datePublished":"2026-06-23T15:28:55+00:00","dateModified":"2026-06-24T10:59:08+00:00","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/#breadcrumb"},"inLanguage":"sw-TZ","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/msaada-wa-ufikiaji\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Msaada wa Ufikiaji \u00a0"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#website","url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/","name":"Global Deafblindness Resource Hub","description":"Connecting people with deafblindness to the world around them","publisher":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"sw-TZ"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#organization","name":"Global Deafblindness Resource Hub","url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-TZ","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/deafblindness.info\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/logo-icon.svg","contentUrl":"https:\/\/deafblindness.info\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/logo-icon.svg","width":50,"height":50,"caption":"Global Deafblindness Resource Hub"},"image":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"}}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/6765","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/pages"}],"about":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/page"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/users\/12"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=6765"}],"version-history":[{"count":1,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/6765\/revisions"}],"predecessor-version":[{"id":6766,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/pages\/6765\/revisions\/6766"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=6765"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}