{"id":3957,"date":"2025-06-03T13:00:37","date_gmt":"2025-06-03T12:00:37","guid":{"rendered":"https:\/\/deafblindness.info\/?post_type=resource&#038;p=3957"},"modified":"2025-06-03T13:00:39","modified_gmt":"2025-06-03T12:00:39","slug":"utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona","status":"publish","type":"resource","link":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/","title":{"rendered":"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona"},"content":{"rendered":"\n<p>Rasilimali hii inatoa maelezo kuhusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona, ikieleza hatua za mchakato huo, huduma zinazopatikana, na jukumu la wahudumu wa afya pamoja na walezi katika kuhakikisha watoto wanaopatikana na hali hiyo wanapata msaada wa bure, wa kitabibu na kielimu unaoendana na mahitaji yao.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Sisi ni nani?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p>Sense International ni shirika la kimataifa linalotoa huduma kwa watu wenye ulemavu wa Uziwikutoona na wale wenye ulemavu mchanganyiko unaopelekea milango mingine ya fahamu (kuona, kusikia, kugusa na kuonja) kushindwa kufanya kazi vizuri.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Tunafanya nini?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p>Tunashirikiana na serikali pamoja na mashirika mbalimbali katika kuwatambua watu wenye Uziwikutoona na wale wenye ulemavu mchanganyiko ili kuwawezesha kiafya, kielimu na kujifunza stadi za maisha.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Itakuwaje kama mtoto wangu akigunduliwa kuwa na ulemavu wa Uziwikutoona?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p>Mtoto akigunduliwa kuwa na ulemavu wa Uziwikutoona au changamoto kwenye utendaji wa milango ya fahumu (kuona na kusikia) ataandikishwa katika kituo cha kutolea huduma ili aweze kusaidiwa na wataalamu wa tiba kwa vitendo. Wataalamu hao wataandaa utaratibu maalumu kwa kila mtoto ili kumsaidia, na kuwafundisha wazazi au walezi namna ya kusawasaidia watoto wao wakiwa nyumbani. Pia watawatembelea wanakoishi ili kujua maendeleo yao.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Tunafanyaje?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p><strong>Hatua ya kwanza:<\/strong> Watoto wenye umri wa siku moja hadi miaka mitano watabainiwa kama wana viashiria vya kuwa na ulemavu wa uziwikutoona. Zoezi hili litafanywa na wahudumu wa afya kwa ngazi ya jamii wawapo katika vituo vya chanjo au sehemu tofauti tofauti ndani ya kata husika.<\/p>\n\n\n\n<p><strong>Hatua ya pili:<\/strong> Kama mtoto atakuwa na viashiria vya Uziwikutoona ataelekezwa kwenda kufanyiwa vipimo zaidi kwa kutumia vifaa maalumu katika moja ya vituo vifuatavyo vya afya vinavyomilikiwa na serikali, <strong>Mbagala Round Table, Yombo Vituka, Mbande, Hospitali ya Rufaa Temeke.<\/strong><\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Ni muda gani muafaka kumpima mtoto wangu?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p>Kwa matokeo mazuri mtoto anatakiwa kupimwa kati ya masaa 24 baada ya kuzaliwa hadi umri wa miaka mitano.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Vipi kama mtoot wangu atakuwa na ulemavu wa aina moja tu?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p>Iwapo mtoto atagunduliwa kuwa na changamoto katika mlango mmoja wa fahamu (masikio au macho) ataelekezwa kuwaona wataalamu katika Hospitali ya Rufaa ya Temeke watakaoweza kumsaidia kupata msaada wa kitabibu kwa utaratibu uliopo.<\/p>\n\n\n\n<h2 class=\"wp-block-heading\"><strong>Je, natakiwa kulipia gharama yoyote?<\/strong><\/h2>\n\n\n\n<p>Hapana, huduma hii inatolewa bure bila malipo yoyote.<\/p>\n\n\n\n<p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.<\/p>\n","protected":false},"featured_media":0,"template":"","resource_cats":[239,241],"countries":[313],"class_list":["post-3957","resource","type-resource","status-publish","hentry","resource_cats-maisha-na-kujifunza","resource_cats-miaka-ya-awali","countries-tanzania-sw"],"acf":[],"yoast_head":"<!-- This site is optimized with the Yoast SEO plugin v26.9 - https:\/\/yoast.com\/product\/yoast-seo-wordpress\/ -->\n<title>Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona - Global Deafblindness Resource Hub<\/title>\n<meta name=\"description\" content=\"Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.\" \/>\n<meta name=\"robots\" content=\"index, follow, max-snippet:-1, max-image-preview:large, max-video-preview:-1\" \/>\n<link rel=\"canonical\" href=\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/\" \/>\n<meta property=\"og:locale\" content=\"en_US\" \/>\n<meta property=\"og:type\" content=\"article\" \/>\n<meta property=\"og:title\" content=\"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona - Global Deafblindness Resource Hub\" \/>\n<meta property=\"og:description\" content=\"Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.\" \/>\n<meta property=\"og:url\" content=\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/\" \/>\n<meta property=\"og:site_name\" content=\"Global Deafblindness Resource Hub\" \/>\n<meta property=\"article:modified_time\" content=\"2025-06-03T12:00:39+00:00\" \/>\n<meta name=\"twitter:card\" content=\"summary_large_image\" \/>\n<meta name=\"twitter:label1\" content=\"Est. reading time\" \/>\n\t<meta name=\"twitter:data1\" content=\"2 minutes\" \/>\n<script type=\"application\/ld+json\" class=\"yoast-schema-graph\">{\"@context\":\"https:\/\/schema.org\",\"@graph\":[{\"@type\":\"WebPage\",\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/\",\"url\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/\",\"name\":\"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona - Global Deafblindness Resource Hub\",\"isPartOf\":{\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#website\"},\"datePublished\":\"2025-06-03T12:00:37+00:00\",\"dateModified\":\"2025-06-03T12:00:39+00:00\",\"description\":\"Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.\",\"breadcrumb\":{\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/#breadcrumb\"},\"inLanguage\":\"sw-TZ\",\"potentialAction\":[{\"@type\":\"ReadAction\",\"target\":[\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/\"]}]},{\"@type\":\"BreadcrumbList\",\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/#breadcrumb\",\"itemListElement\":[{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":1,\"name\":\"Home\",\"item\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/\"},{\"@type\":\"ListItem\",\"position\":2,\"name\":\"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona\"}]},{\"@type\":\"WebSite\",\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#website\",\"url\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/\",\"name\":\"Global Deafblindness Resource Hub\",\"description\":\"Connecting people with deafblindness to the world around them\",\"publisher\":{\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#organization\"},\"potentialAction\":[{\"@type\":\"SearchAction\",\"target\":{\"@type\":\"EntryPoint\",\"urlTemplate\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/?s={search_term_string}\"},\"query-input\":{\"@type\":\"PropertyValueSpecification\",\"valueRequired\":true,\"valueName\":\"search_term_string\"}}],\"inLanguage\":\"sw-TZ\"},{\"@type\":\"Organization\",\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#organization\",\"name\":\"Global Deafblindness Resource Hub\",\"url\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/\",\"logo\":{\"@type\":\"ImageObject\",\"inLanguage\":\"sw-TZ\",\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/\",\"url\":\"https:\/\/deafblindness.info\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/logo-icon.svg\",\"contentUrl\":\"https:\/\/deafblindness.info\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/logo-icon.svg\",\"width\":50,\"height\":50,\"caption\":\"Global Deafblindness Resource Hub\"},\"image\":{\"@id\":\"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/\"}}]}<\/script>\n<!-- \/ Yoast SEO plugin. -->","yoast_head_json":{"title":"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona - Global Deafblindness Resource Hub","description":"Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.","robots":{"index":"index","follow":"follow","max-snippet":"max-snippet:-1","max-image-preview":"max-image-preview:large","max-video-preview":"max-video-preview:-1"},"canonical":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/","og_locale":"en_US","og_type":"article","og_title":"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona - Global Deafblindness Resource Hub","og_description":"Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.","og_url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/","og_site_name":"Global Deafblindness Resource Hub","article_modified_time":"2025-06-03T12:00:39+00:00","twitter_card":"summary_large_image","twitter_misc":{"Est. reading time":"2 minutes"},"schema":{"@context":"https:\/\/schema.org","@graph":[{"@type":"WebPage","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/","url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/","name":"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona - Global Deafblindness Resource Hub","isPartOf":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#website"},"datePublished":"2025-06-03T12:00:37+00:00","dateModified":"2025-06-03T12:00:39+00:00","description":"Rasilimali hii inahusu upimaji na utambuzi wa awali wa watoto wenye ulemavu wa uziwikutoona (yaani, matatizo ya kusikia na kuona kwa pamoja) ili kuhakikisha wanapata msaada unaofaa wa kitabibu, kielimu, na katika kujifunza stadi za maisha kupitia ushirikiano kati ya wataalamu wa afya na walezi.","breadcrumb":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/#breadcrumb"},"inLanguage":"sw-TZ","potentialAction":[{"@type":"ReadAction","target":["https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/"]}]},{"@type":"BreadcrumbList","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/resource\/utangulizi-wa-sense-international-tanzania-na-uziwikutoona\/#breadcrumb","itemListElement":[{"@type":"ListItem","position":1,"name":"Home","item":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/"},{"@type":"ListItem","position":2,"name":"Utangulizi wa Sense International Tanzania na Uziwikutoona"}]},{"@type":"WebSite","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#website","url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/","name":"Global Deafblindness Resource Hub","description":"Connecting people with deafblindness to the world around them","publisher":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#organization"},"potentialAction":[{"@type":"SearchAction","target":{"@type":"EntryPoint","urlTemplate":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/?s={search_term_string}"},"query-input":{"@type":"PropertyValueSpecification","valueRequired":true,"valueName":"search_term_string"}}],"inLanguage":"sw-TZ"},{"@type":"Organization","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#organization","name":"Global Deafblindness Resource Hub","url":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/","logo":{"@type":"ImageObject","inLanguage":"sw-TZ","@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/","url":"https:\/\/deafblindness.info\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/logo-icon.svg","contentUrl":"https:\/\/deafblindness.info\/wp-content\/uploads\/2024\/09\/logo-icon.svg","width":50,"height":50,"caption":"Global Deafblindness Resource Hub"},"image":{"@id":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/#\/schema\/logo\/image\/"}}]}},"_links":{"self":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/resource\/3957","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/resource"}],"about":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/types\/resource"}],"version-history":[{"count":0,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/resource\/3957\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3957"}],"wp:term":[{"taxonomy":"resource_cats","embeddable":true,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/resource_cats?post=3957"},{"taxonomy":"countries","embeddable":true,"href":"https:\/\/deafblindness.info\/sw\/wp-json\/wp\/v2\/countries?post=3957"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}