Rasilimali za kusaidia maendeleo ya weledi na kuwezesha wale wanaopenda kuwa wataalamu katika uziwi na upofu kupata ushahidi wa utendaji bora.
Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Watu wenye Ulemavu
Huu ni uwasilishaji mfupi wa baadhi ya haki za watu wenye ulemavu, kama zinavyofafanuliwa katika vifungu vya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Watu wenye Ulemavu. Hii sio hati ya kisheria.
Teknolojia ya usaidizi
Tazama teknolojia hizi saidizi zinazopatikana nchini Tanzania kwa watu wanaoishi na Uziwikutoona .