Kitovu cha Kimataifa cha Raslimali za uziwikutoona Duniani kinasimamiwa na Sense International Uingereza kwa niaba ya familia ya Sense International. Ikiwa una maoni kuhusu tovuti hii, tafadhali wasiliana na timu yetu iliyopo nchini Uingereza kwa kutumia taarifa zilizopo hapa chini.
Njia za kuwasiliana nasi
Kwa barua pepe
Tutumie barua pepe kwa kutumia anauni hii [email protected]
Kwa njia ya posta
Tuandikie kwa kutumia anuani hii:
101 Pentonville Road
London
N1 9LG
UK
Ofisi zetu Ulimwenguni
Ili kuweza kuwasiliana na timu yetu yoyote ulimwenguni, utapata taarifa za mawasiliano kwenye ukurasa wetu wa Sense International around the world .
Taarifa Zaidi
Endapo utapenda kufahamu zaidi kuhusu Sense International, ikijumuisha taarifa zaidi kuhusu maono, dhamira na kazi zetu, tafadhali tembelea tovuti yetu. Pia utapata maelezo zaidi kuhusu sera zetu, ikiwa ni pamoja na Jinsi ya kuwasilisha malalamiko yako, hapa.