Mwaka wa kuchapishwa
February 2025

Soma habari za hivi punde nchini Tanzania zikiwemo siasa, michezo, biashara na burudani.

Mwanachi

Mwanachi ni tovuti ya habari za mtandaoni inayoongoza nchini Tanzania inayotoa taarifa kuhusu sera, biashara, michezo na burudani.

Habari Leo

Habari Leo inatoa habari za ndani na za kitaifa kuhusu afya, jamii na biashara.

Daily News Tanzania

Daily News Tanzania ni tovuti inayoongoza ya habari mtandaoni ambayo inaangazia mada mbalimbali kama vile siasa, biashara, michezo na mengineyo.

ITV Tanzania

ITV Tanzania haitoi tu habari za kitaifa bali pia inajumuisha sehemu za habari za redio na video za mtandaoni.

Maelezo ya Ufikiaji wa Tovuti 

Katika baadhi ya maeneo kwenye tovuti yetu, tunashiria au kukuelekeza katika tovuti za watu wengine na programu ambazo hutoa taarifa muhimu na ushauri kwa watumiaji wetu. Hta hivyo, hatuwezi kuthibitisha kwamba tovuti na programu hizi za washirika wengine zinapatikana kikamilifu na zinatii miongozo ya WCAG 2.2.

Pale inapowezekana tunajitahidi kushirikiana na wahusika hawa kufanya mabadiliko yanayohitajika ili kuendana na miongozo ya WCAG2.2 na kuboresha ufikiaji wao.

Je, hii ilifaa

Maelezo haya yamekusaidia?

Changia


Raslimali zinazofanana

Hadithi ya mwalimu Adrian Maula

Adrian Maula ni mwalimu katika Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko, akieleza umuhimu wa Global Deafblindess Resource Hub katika kutoa vifaa vya kufundisha na elimu tangu kuanzishwa kwa kituo hicho. “Naitwa Adrian Maula ni mwalimu wa kitengo cha wanafunzi wenye ulemavu hapa shule ya msingi Uhuru Mchanganyiko. Siku yangu hapa shuleni…

Hadithi ya Mama Mahdi

Kitovu cha kimataifa cha rasilimali za uziwikutoona kimekuwa na mchango kiasi gani tangu kuanzishwa kwake.

Mwongozo wa walezi wakati wa chakula kwa watoto wenye ulemavu wa kusikia na kuona 

Mwongozo huu unawapa walezi wa watoto wenye ulemavu wa Uziwikutoona mikakati ya vitendo, hatua kwa hatua, ya kukuza ujuzi wa kula kwa uhuru, kwa usalama, na unaochangia hisia.