Pata Habu kwa urahisi kwenye simu yako:

Unaweza kuongeza njia ya mkato ya kuingia katika tovuti yoyote kwenye Skrini ya kwanza ya simu yako. Hii hukusaidia kuifungua haraka, kama vile kufungua programu. Mchakato wa kuongeza tovuti kwenye skrini yako ya kwanza ni rahisi na huchukua chini ya dakika moja. Hivi ndivyo unavyoweza kufanya kwa ajili ya Hub:

iPhone

1. Ingia kwenye Programu tumizi ya Safari kwenye simu yako ya iPhone.

Picha inayoonyesha jinsi ya Kufungua Safari kwenye simu yako ya I-Phone
Picha inayoonyesha jinsi ya Kufungua Safari kwenye simu yako ya I-Phone

2. Ingia kwenye tovuti unayotaka kuongeza kwenye skrini yako ya kwanza ya (https://deafblindness.info/)

Picha inakuelekeza kufungua tovuti https://deafblindness.info/
Picha inakuelekeza kufungua tovuti https://deafblindness.info/

3.Chagua kitufe cha Shirikisha/Zaidi katika upau wa vidhibiti wa Safari

Picha inayokuonyesha jinsi ya kuchagua aikoni ya Shirikisha/Zaidi kwenye upau wa vidhibiti wa Safari (toolbar)
Picha inayokuonyesha jinsi ya kuchagua aikoni ya Shirikisha/Zaidi kwenye upau wa vidhibiti wa Safari (toolbar)

4. Shusha chini orodha ya machaguo, kisha Shuka chini kisha ubofye neno Ongeza kwenye Skrini ya kwanza (huenda ikakubidi kubofya kwenye neno Zaidi ili uweze kuona chaguo).  

Ikiwa huoni neno Ongeza kwenye Skrini ya kwanza, unaweza kuiongeza. Sogeza chini orodha ya machaguo, bofya neno Badilisha Vitendo, kisha ubofye neno Ongeza kwenye Skrini ya kwanza.

Picha inayokuonyesha jinsi ya kusogeza chini orodha ya chaguo, kisha uguse Ongeza kwenye Skrini ya Nyumbani (huenda ikakubidi ubofye Zaidi ili kuona chaguo hilo.
Picha inayokuonyesha jinsi ya kusogeza chini orodha ya chaguo, kisha uguse Ongeza kwenye Skrini ya Nyumbani (huenda ikakubidi ubofye Zaidi ili kuona chaguo hilo.

5. Ipe jina kisha bofya neno ‘Ongeza’

Ipe jina, na uchague Ongeza (Ikoni ICON inaonekana tu kwenye kifaa pale unapokiongeza).
Picha inayoonyesha tovuti kama alamisho kwenye skrini ya kwanza
Ipe jina, na uchague Ongeza (Ikoni ICON inaonekana tu kwenye kifaa pale unapokiongeza). Picha inayoonyesha tovuti kama alamisho kwenye skrini ya kwanza

Android

  1. Kwenye kifaa chako cha Android, fungua Kivinjari cha Chrome.
1.	Picha inayokuonyesha jinsi ya Kufungua Kivinjari cha Chrome na kuandika tovuti katika https://deafblindness.info/. Kisha chagua (doti tatu) ili kufungua menyu
Picha inayokuonyesha jinsi ya Kufungua Kivinjari cha Chrome na kuandika tovuti katika https://deafblindness.info/. Kisha chagua (doti tatu) ili kufungua menyu

2. Nenda kwenye tovuti unayotaka kutengeneza njia ya mkato.

Picha inayokuonyesha jinsi ya kubofya 'Ongeza kwenye Skrini ya kwanza'
Picha inayokuonyesha jinsi ya kubofya ‘Ongeza kwenye Skrini ya kwanza’

3. Upande wa kulia wa upau wa anwani (nukta tatu), bofya neno Zaidi kisha Ongeza kwenye skrini ya kwanza na tengeneza njia ya mkato.

Picha inayokuonyesha jinsi ya kubofya ‘Tengeneza njia ya mkato.
  1. Kutoka kwenye kidirisha kinachoonekana:
    • Badilisha jina: Chagua jina chaguo-msingi la njia ya mkato au ubadilishe njia ya mkato.
    • Inaweza pia kukupa chaguo la kubinafsisha aikoni
Picha inayokuonyesha jinsi ya 'Ipe jina, na uchague Ongeza'
Picha inayokuonyesha jinsi ya ‘Ipe jina, na uchague Ongeza’

5. Gonga Ongeza.

Picha inayokuonyesha jinsi ya ‘kubinafsisha, na kuchagua Ongeza’ (kama njia mbadala)
Picha inayoonyesha tovuti kama alamisho kwenye skrini ya kwanza
Picha inayokuonyesha jinsi ya ‘kubinafsisha, na kuchagua Ongeza’ (kama njia mbadala). Picha inayoonyesha tovuti kama alamisho kwenye skrini ya kwanza.