Mwaka wa kuchapishwa
February 2025

Tazama rasilimali na taarifa za serikali za mitaa, mashirika yasiyo ya kiserikali na mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali ili zikusaidie kupitia maisha ya kila siku.

Ulemavu: IN

Ulemavu :IN inatoa taarifa kuhusu sheria, mahitaji ya ajira, mahitaji ya ufikiaji na umaizi wa data.

Tanzania Health Promotion Support (THPS)

THPS inatoa taarifa kuhusu huduma za afya na mipango ya kukuza afya nchini Tanzania.

Jarida la taarifa za Afya Tanzania

Jarida la Taarifa za Afya Tanzania linatoa taarifa kuhusu data za takwimu, ripoti, na kuhusu viashirio na mienendo ya afya nchini Tanzania.

Tanzania Association of the Deafblind (TADB)

TADB ni shirika lisilo la faida linalofanya kazi kuboresha maisha ya viziwi kupitia uhamasishaji, ushiriki na elimu. Pia wana jukwaa la lugha ya ishara ili kusaidia katika mawasiliano.

Kyaro Assistive Tech

Kyaro Assistive Tech ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa nchini Tanzania linalounda na kusambaza vifaa saidizi.

Maelezo ya Ufikiaji wa Tovuti 

Katika baadhi ya maeneo kwenye tovuti yetu, tunashiria au kukuelekeza katika tovuti za watu wengine na programu ambazo hutoa taarifa muhimu na ushauri kwa watumiaji wetu. Hta hivyo, hatuwezi kuthibitisha kwamba tovuti na programu hizi za washirika wengine zinapatikana kikamilifu na zinatii miongozo ya WCAG 2.2.

Pale inapowezekana tunajitahidi kushirikiana na wahusika hawa kufanya mabadiliko yanayohitajika ili kuendana na miongozo ya WCAG2.2 na kuboresha ufikiaji wao.

Je, hii ilifaa

Maelezo haya yamekusaidia?Inahitajika
This field is for validation purposes and should be left unchanged.

Changia


Raslimali zinazofanana

Watoto wanaoishi na uziwikutoona

Shughuli za kila siku za watoto wanaoishi na uziwikutoona.

Festo – Kijana mwenye uziwikutoona, Tanzania

Video ya kijana mwenye uziwikutoona akijiingizia kipato kwa kufanya shughuli ya utengenezaji wa vikapu.

Philbert – Kijana mwenye uziwikutoona kutoka Tanzania

Ujumuishaji wa vijana wenye uziwikutoona kwenye shughuli za kiuchumi.